Monday, January 28, 2013

....HABARI KUTOKA ZANZIBAR!!!

HALI IMEZIDI KUWA TETE .KWA ZAIDI  YA WANAFUNZI 100 WA CHUO KIKUU CHA TAIFA ZANZIBAR(SUZA)  KWA KUTOPEWA FEDHA ZAO ZA KUJIKIMU KWA MUHULA MZIMA WA MASOMO, KUTOKA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YA MUUNGANO (TANZANIA). PAMOJA NA JITIHADA KUBWA ZILIZOFANYWA ,IKIWA NI PAMOJA NA KUTUMIA SERIKALI YA WANAFUNZI,DAWATI ,LA MIKOPO LA CHUO,MAKAMU MKUU WA CHUO,TAWI DOGO LA OFISI YA BODI YA MIKOPO ZANZIBAR,NA SHINIKIZO KWA WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR...BADO JITIHADA HIZO HAZIKUZAA MATUMAINI ,NA KUZUSHA HISIA MBALI MBALI KWA WAHANGA HAO,IKIWA NI PAMOJA NA KUTENGWA ,KUPUUZWA,KUNYANYASWA, NA KUTOJAALIWA NDANI YA NCHI YAO HII INAYO JITAMBULISHA KAMA ..JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.....! 

No comments:

Post a Comment