Monday, January 28, 2013

....HABARI KUTOKA ZANZIBAR!!!

HALI IMEZIDI KUWA TETE .KWA ZAIDI  YA WANAFUNZI 100 WA CHUO KIKUU CHA TAIFA ZANZIBAR(SUZA)  KWA KUTOPEWA FEDHA ZAO ZA KUJIKIMU KWA MUHULA MZIMA WA MASOMO, KUTOKA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YA MUUNGANO (TANZANIA). PAMOJA NA JITIHADA KUBWA ZILIZOFANYWA ,IKIWA NI PAMOJA NA KUTUMIA SERIKALI YA WANAFUNZI,DAWATI ,LA MIKOPO LA CHUO,MAKAMU MKUU WA CHUO,TAWI DOGO LA OFISI YA BODI YA MIKOPO ZANZIBAR,NA SHINIKIZO KWA WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR...BADO JITIHADA HIZO HAZIKUZAA MATUMAINI ,NA KUZUSHA HISIA MBALI MBALI KWA WAHANGA HAO,IKIWA NI PAMOJA NA KUTENGWA ,KUPUUZWA,KUNYANYASWA, NA KUTOJAALIWA NDANI YA NCHI YAO HII INAYO JITAMBULISHA KAMA ..JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.....! 

Friday, January 25, 2013

HIVI NDIVYO "USTAWI EXPLO...TAKE +ACTION,ACHIEVE YOUR DREAMS ILIVYOKUWA NDANI YA ISW IJUMAA YA TAR.25/01/2013!!!

HUU ULIKUWA USIKU WA KIPEKEE NDANI YA CHUO CHA USTAWI WA JAMII,TAR.25/01/2013 AMBAPO WANAFUNZI KUTOKA CHUONI HAPO NA KUTOKA ARDHI,UDSM,HKMU NA DIT WALIKUSANYIKA KWA AJILI YA TUKIO LILILOITWA "USTAWI EXPLO---TAKE +ACTION,ACHIEVE YOUR DREAMS" TUKIO HILO LILICHUKUA WASTANI WA SAA NNE HIVI AMBAPO WANENAJI NA WATAALAMU MBALIMBALI WA MAMBO YA VIJANA WALINENA NA HATIMAYE WOTE TUKAIMBA NA KUCHEZA PAMOJA NA KUFAHAMIANA!!
Fuatilia sasa matukio katika picha!!!
MC KING CHAVALA

HAPA KING CHAVALA AKIFANYA COMEDY!!

Wednesday, January 16, 2013

ANOTHER MEGA EVENT IN DAR....TAKE ACTION,ACHIEVE YOUR DREAMS!!!

Hello Students and Young Professionals,what's up?
Here is good news for all students of Institute of Social Works(ISW) and neighboring higher learning institutions and friend collages and universities like ARU,DIT,UDSM,HKMU,IMTU,CBE and many others!!
Start the year 2013 with great inspirations,motivations and counseling  from eligible ministers of God and experienced workers in their carriers,to mention a few we will have Papaa Sasali,Rev.Ron Swai,Sam and Nice etc....you will have time hear Tips on ACADEMIC EXCELLENCY, CHALLENGES WITHIN CAMPUSES,PEER GROUPS AND ISSUES OF RELATIONSHIPS!!

You will also have moments to Praise and Worship the Lord with Different Gospel Icons like Amani Kapama and Bomby Johnson, Dance  to Laugh Again with The King Of Stand Up Comedy In Tanzania who will also be moderating the Event!

It will be on 25th Jan 2013 from 1730-2130hrs at ISW Cafteria and it is FREE!!

Once you get this information please inform the other friend of you!!

TAKE ACTION NOW.....ACHIEVE YOUR DREAMS!!!

FOR MORE INFO;
+255 655 271144

Tuesday, January 15, 2013

ILIKUWA SAFI SAAAANA!!!

 Ilikuwa siku muhimu kweli kwa Victor John na kila aliyefika anaweza akasimulia namna ilivyokuwa si ya kukosa. Mungu alikuwa pamoja nasi...

Kitu live...!


Girls singers

Boys singers
Sauti ya kwanza 'praise team'
Mhubiri, kipindi cha neno, lazima tukue!
Nani kasema kwenye uzinduzi hawaokoki!
Nani kasema kwenye uzinduzi hawaombei watu!
UDOM  choir
CF choir




Paul and the team
Cheza kwa BWANA!

Cheza  cheza...!
Paul and the team
















Baada ya hayo yotena mengine mengi... Ni  wakati wa kumbukumbu sasa......

Family
No comment
Nzuri!

MamaDee and Victor






Nice!
Na dada mtu











Utukufu wote tunamrudishia Mungu ambaye pasipo yeye kisingetokea kitu! Mungu ni mwema na anaweza!

Tuesday, January 8, 2013


                MTOTO NA KANISA



kutana na Victor John mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma, mtumishi wa Mungu ambaye anatarajia kuzindua album yake mwishoni mwa wiki hii Jumaamosi ya tarehe 12 mwezi huu wa kwanza ikiwa ni Uzinduzi wa kwanza hapa UDOM kwa mwaka 2013 pale "Social Science Taji Cafeteria" kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa sita usiku (1800-0000hrs).

Kitu kilichonivutia hasa ni Jina la Album na lengo hasa la kutoa album hiyo. Kama umewahi kufundisha watoto au umewahi kuakaa karibu na watoto, ama unao au unatarajia kuwa na watoto, utamshukuru Mungu kwa ajili ya Victor kwa haya maono aliyompa!

Haya ni maneno yake mwenyewe Victor aliyoniambia pale nilipotaka kujua hasa kuhusu jambo hili

"Jina la album MTOTO NA KANISA (mlee mtoto katika njia impasayo nae hataicha hata atakapokua mzee)


Dhima ya album hii ni kufanya 'restoration' ya nafasi ya mtoto kanisani ili siku za usoni aje kuwa kifaa bora, in 'many cases' leo makanisani unakuta watoto wa waamini ndio wanaosikia kwa maovu kuliko hata watu wengine. Hii inatokana na kukosa malezi bora ya Kimungu. Mfano ni rahisi sana watoto kuambiwa wawapishe wakubwa kwenye viti ili wakubwa wakae na watoto hao wanaishia kupelekwa nje. 'Unknowingly' wanaharibu kizazi kijacho kwa taifa na kanisa pia. 'So in my album' nimeongea umuhimu wa kumlea mtoto katika maadilimya kimungu. 'By the way my parents are priests', nimeona tofauti kati ya kumlea mtoto katika njia inayompasa na njia isiyompasa. Laiti kama nisingelelewa katika njia inipasayo sijui hata kama leo ningekua UDOM. 'This album' inagusa maisha yangu binafsi, na nataka kanisa lifanye 'as the way' nilivyolelewa ili kisiwepo kizazi kitakachohatarisha mustakabali wa kanisa na taifa pia. 

Nimefanya kazi na huduma ya watoto na vijana tabora (HUIMA) na natamani kuendelea kuifanya kwa sababu ni kitu kinachonigusa mimi mwenyewe. Nimefanya 'concerts' za 'praise and worship' mbalimbali ambazo ziliwakutanisha vijana wa mashuleni na vyuoni, na katika hizo 'concerts' wengi walimpokea Yesu. haitaishia hapa, nitaendelea nayo hii huduma na 'partners' wangu ambao wengi wao wameenda masomoni vyuo vingine."


Kwa kweli, utakubaliana na mimi kwamba tunahitaji watu wengi zaidi wenye moyo wa kumtumikia Mungu, wasio wavivu kujua Mungu anataka wafanye nini, na wanapopata kufahamu, wanachukua hatua na kuhakikisha kitu kimetokea si kwa kujifurahisha bali kwa kumpa Mungu utukufu!

Mungu ana watu wengi hivyo pamoja na wewe na mimi tutakaokuwepo kwenye tukio hilo, pia watakuwepo waimbaji mbali mbali kama The Living testimony, Paul Clement wa Glorious Celebration, kwaya za Casfeta na Uscf, Gadi Visima, Edward Mnyema Oliver Julius, Titho Buzuka na wengine wengi.

Titho Buzuka
Paul Clement
Oliver Julius


Ni uzinduzi unaoambatana na sifa na ibada kwa Mungu!Njoo umsifu Mungu, wekeza kwa BWANA! Hii si ya kukosa...




A LADY WITH IMPACT!!!

INSIGHT FOR IMPACT MINISTRIES HERE COMES WITH A NIGHT OF IMPACT 2013 FOR LADIES ONLY!!
HEY DEAR LADY THIS IS SOMETHING YOU NEED NOT TO MISS AT ALL,COME AND ENJOY THE WHOLE NIGHT THIS FRIDAY AT THE SAME VENUE,GLONENCY 88 HOTEL FROM 9PM TO 5PM
NO ENTRANCE FEE!!!
SHARE THE NEWS!!!

NI MARUFUKU!!!(0001)

EXTRACTED FROM FACEBOOK!!!

Ni marufuku kwa mwanafunzi yeyote yule na ninyi wasomi ambao mmetoka shule juzi juzi na mmepata vijikazi ama japo mahali pa kushika kuwadharau ndugu,jamaa,marafiki na watu wanaowazunguka eti tu kwasababu hawajasoma kama ninyi,na kuna watu ni wapumbavu sana,yaani kupata degree tu unaanza kuwadharau mpaka wazazi hali ni wao wamefanya mpaka umefika hapo,unashangaa mtu anajitenga na jamii yake nakujiona wa juu kumbe ujinga tu,basi mikutano ya mtaani haendi,misibani haendi,kufanya kazi ama usafi mtaani au kanisani au kokote kule wanakoitaajika wanajamii wote haendi,shughuli za vijana wenziwe hachangii wala haendi...hivi unadhani kufanya kazi huko mjini na kuvaa tai ndio kunaongeza thamani yako na kuishusha ya kondakta,muuza magazeti au kahawa? Hivi hujui mkopo wote uliokuwa unaupata chuo ni mchango wa kodi wa watu hao unaowadharau kama makondakta?....acha ujinga kijana,kaa chini na watu ujifunze ya watu,mambo mazuri wakati mwingine hupatkana kwa wale unaowadharau!!
NGOJA NIKUPE MFANO HUU WA KWELI.....
....Kuna Prof. mmoja yuko pale mlimani,hujifanya busy,mjuaji,madharau na yuko rafu mpaka dah,
....sasa pia maeneo ya shule yake(kitivo)kuna kichaa mmoja ambaye huwa akizunguka zunguka mara nyingi na kichaa huyo kila mtu humdharau!
....siku moja kuna wanafunzi wenye hasira na yule Prof(na hao ni mmoja ya wajinga ninaowasema) walienda wakatoa upepo kwenye tairi la mbele na kufungua nati wakaondoka nazo ili tu kumkomesha Prof.
......Sasa wakati Prof.anataka kuondoka akakuta dhahama hiyo,basi akabaki kujifyonya pale na akawa amefanya maamuzi ya kutaka kuondoka maana alikuwa ana spare tairi lakini nati hakuna....basi akiwa amekasirika mara akatokea yule kichaa na kumwambia.."Shikamoo Prof! naona wamejaribu kukukomoa hahahah ila bado unaweza kwenda tu,Basi yule Prof.akamtukana kwa kizungu na kumfukuza,ila yule kichaa akasema....sawa ila mimi ningekuwa wewe "ningefungua nati moja moja kwa matairi yote yaliyobaki na kufungia hilo moja kisha ningetafuta nati zingine baadae lakini ningeshafika nyumbani" kisha akaenda zake!!.....Sasa yule Prof.akawaza maneno ya kichaa na kuona yana mantiki na ukweli ndio yaliyomfikisha home kwake!!!
SASA MIMI NAWAAMBIENI NIYI MNAOJIFANYA WASOMI KUPITILIZA MPAKA KUWADHARAU WENGINE,NI MARUFUKU!!!


http://www.facebook.com/chavalapf/posts/10151225935103543?comment_id=24523559&ref=notif&notif_t=comment_mention

CAMPUS NIGHT 2013 FOR KILIMANJARO & ARUSHA TO BE DONE ON 18TH JANUARY,DON'T MISS!!!!

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI NA VIJANA WOTE WA MOSHI NA ARUSHA,TUNAANZA MWAKA KWA TUKIO KUBWA LA KIHISTORIA LINALOWAKUTANISHA WANAFUNZI WOTE WA KILIMANJARO NA ARUSHA KATIKA MKESHA MMOJA MKUBWA WA AJABU WA KUSIFU NA KUABUDU,KUJIFUNZA,KUCHEKA,KUSHIRIKISHANA VIPAJI,KUTIWA MOYO NA KUKUTANA NA MARAFIKI....SAFARI HII CAMPUS NIGHT ITAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA CCM MKOA,IJUMAA YA TAR.18 KUAMKIA JMOS....WATUMISHI WATAOHUDUMU NI PAMOJA NA MCHUNGAJI DAVID NKONE,DICKSON MTALITINYA NA MARTIN GUYA TOKA KENYA....KUSIFU NA KUABUDU KUTAONGOZWA NA JOHN LISSU TOKA DAR NA KWAYA ZA VYUO MBALIMBALI ZITASHIRIKI!!!
HUTAKIWI KUKOSA HII!!!