Wednesday, December 12, 2012

LAUGH AGAIN CONCERT SERIES TOUR KUANZIA IAA ARUSHA TAR 14/12/2012

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA NA VYUO JIRANI,USIKU WA TAR 14/12/2012 NDANI YA MAIN CAFTERIA UTAPATA WAKATI WA KUCHEKA TENA NA CLOWN CHAVALA,THE KING OF STAND UP COMEDY!!!
PAMOJA NA VIPAJI VINGINE VINGI CHIPKIZI!!!
HAKUNA KIINGILIO,UKIPATA HII,MWALIKE NA MWENZAKO!!!
0713 883797

Saturday, December 1, 2012

ZAMU YA...... TITHO BUZUKA....!!!

KUTANA NA TITHO BUZUKA....!!!

Ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu cha Dododoma - Informatics and Virtual Education anayechukua masomo ya "Computer and Information Security (CIS)" . 
Kwa wale wanaojua UDOM kwa kweli watakubaliana nami kwa jinsi ambavyo tumebarikiwa kuwa na waimbaji wengi wa nyimbo za Injili. Wengi wamezindua na sasa mbele yetu tunatarajia uzinduzi wa album ya Titho ambayo kwa kweli ni ya kipekee na nitakupa sababu mbili katika hili

kwanza ni ya nyimbo za kumsifu na kumuabudu Mungu ambazo zitakusogeza kwenye uwepo wa Mungu.

Pili zimeimbwa kwa ustadi ukizingatia kwamba Titho ni kijana mpole, mnyenyekevu na mwenye kumuheshimu Mungu lakini pia ana kipaji na karama katika eneo hilo.

Lakini katika hayo yote, nilimtafuta Titho mwenyewe nipate kujua walau mambo baadhi kuhusu album na siku yenyewe ya uzinduzi na wewe pia upate kujua kutoka kwake...

Aliniambia kwamba, ukiacha masomo anayosoma hapa, yeye ni muajiriwa katika shule ya sekondari Mugumu iliyopo Serengeti Musoma. Na pia ni mwanzilishi wa huduma ya "Healing Praise Ministry (HPM)". 

Akizungumzia kuhusu uzinduzi, alisema kuwa itakuwa siku ya Jumaamosi tarehe 8 mwezi wa 12 UDOM - Social Science katika ukumbi wa Taji Cafeteria  kuanzia saa kumi na moja jioni hadi saa sita usiku.

Bila kusahau kitu muhimu, jina la album!!

Alisema kuwa album inaitwa "NIGUSE" ambayo ina jumla ya nyimbo tisa. 

Haya sasa, nilitamani kujua nini kilichomsukuma kutengeneza album hiyo maana ni wengi wanaimba na kila mtu ana sababu zake za kufanya hivyo. Nini hasa sababu kwa upande wake, Titho alikuwa na haya ya kusema.

"Lengo hasa ni kumsifu na kumuabudu Mungu, dhima kubwa ya album ni kumuabudu Mungu, na haimaanishi ni nyimbo za taratibu tu."

Kuna jambo pia la kuhusiana na HPM. Nilitamani kujua zaidi kuhusu hilo.

Alisema kuwa, HPM ni huduma inayojihusisha hasa na kusifu, kuabudu na maombezi. Na pia wanajihusisha na mambo mengine kama "shooting, cover designing, doubling" na mengine mengi.

Nini hasa kilikusukuma kuanzisha HPM? Lilikuwa swali langu lingine na Titho alikuwa na haya ya kusema

"Nilikuja kugundua kwamba maisha yangu yanakamilishwa kwenye kumsifu na kumuabudu Mungu na ndio lengo hasa la kuanzisha HPM. Natamani hasa kumuinua Mungu na kuona watu wakiponywa, wakifunguliwa na kuwekwa huru. "


Turudi kwenye uzinduzi, nani pia wanatarajiwa kuwepo kuhudumu siku hiyo?

Aliniambia kuwa wapo waimbaji wengi kama
Joshua Ndaki
Jane Silomba
Gift Kalinga
Victor John
The Living Testimony
Casfeta Social Science Choir
Casfeta Education Choir
Casfeta UDOM Choir
Joshua Ndaki
Visima Gadi
Victor John
na wengine wengiKabla ya kumaliza mazungumzo yetu, nilitaka kusikia nini Titho anataka kuwaambia watu kuhusu uzinduzi wa album yake hiyo tarehe nane.....


"Watu wategemee uzinduzi wa album utakao ambatana na kusifu na kuabudu. Tuje tumuabudu Mungu!!!"
  

HII SI YA KUKOSA.... Jumaamosi tarehe nane Disemba pale Social Science UDOM!!!

Wednesday, November 28, 2012

BAYNET INAKULETEA TENA..."DAY YOUTH CONFERENCE"!!!

HII NI EVENT KUBWA SANA YA WANAFUNZI AMBAYO INATEGEMEA KUFANYIKA JMOSI HII PALE SHULE YA SEC KISUTU!!
HII SIO EVENT YA KUKUOSA KWA KILA KIJANA!!!

Monday, November 19, 2012

WHAT WAS UP WITH CAMPUS NIGHT DODOMA 2012.....!!!

Just like I told you,
                t'was a 'never miss event'
CAMPUS NIGHT DODOMA CHAPTER TWO!!!

We were blessed as well as being a blessing to one another....!!
Our guest of honor, Dr. Rehema Nchimbi gave us a grand opening word reminding us on knowing who we really are where we are as Christians, students and citizens of this country, it was super!
Dr. Rehema Nchimbi giving an opening word

We heard the word of God from Pastor Gavin all the way from America. It was about knowing our purpose in life, we all need that for sure!
Pastor  Gerald Ole Nguyaine (from ICC) (left) tranlsating  for Pastor Gavin Walker (right)

Chimwaga was FULL, more than 4000 students from different universities in Dodoma. And different guests from other regions!!
Chimwaga full!!

 Some of the mass choir members just before the event... We were in red...!!!


My life, my love, my all...
I gave it all to the LORD

Jescar representing well the Jsisters ... Escorted with some Friends
Jescar with the MC's  Richard And Aaron
Jescar and her friends ministering with a mega mix song from the Jsisters album

We were taught the word of God, sang, danced 
MC's dancing with the guest of honor and her fellow

and guess what, we had time to laugh with Richard Chidundo.....
Oh how I wish it could be every week or at least every month or once in two months time....!!!
God bless each and everyone who participated in any way to make it possible!!!
Waiting for chapter three and I'm sure it's gonna be awesome....!!! From glory to glory....!!!!

My life (I give), My love (I give), My all.....!!!

  

CAMPUS NIGHT MBEYA YAFANA SANA!!!!

HABARI ZENU BWANA!!!
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MBEYA CITY WEEKEND HII!!!
NITUKIO KUBWA LA KIHISTORIA LIITWALO CAMPUS NIGHT!!!
Rose Mushi a.k.a Nabii Mke akiendelea kufwatilia nini kinachoendelea kwenye Campus Night

Pastor Dr Huruma Nkone akeendela kukata Gospel ya ulweli

Music Director Pastor Mathew Sasali pamoja na Mama Pastor Rebecca Sasali wakiongoza jukwaa la Praise and Worship 

Sauti ya Dubu ukipenda Mr Dr Nyanda akiwa kazini kama Mc wa siku hiyo

Praise and Worship chini ya Mama Pastor ikifanya kaziii.....

Watu Pipoz

Sebene ya Yesu ikiwafanya watu wadance

Twende Sawa

Watu Pipoz

Moja ya Matunda ya Campus Night zilizopita akitoa ushuhuda

Mc Shupavu a.k.a Papaa Ze Blogger akiendelea na Kaziii

Twende Sawaaa

Makofi kwa ajili ya Yesuu!!!

Twende Sawa

Pastor  Dr Huruma Nkone akiendelea kukata Gospel kama Katapila

Wanafunzi wakimpa Yesu Maisha yao

Wanafunzi wakimpa Yesu Maisha yao

Dr Kimambo akikata shule 

Watu Pipoz

Nabii Mkee akitabiria Watu

Haikuwa Ya kitoto hata Vice President wa Mzumbe Campus ya Mbeya alikuwepo(Mwenye Top ya Kijani)

Mc Pilipili akiwa Kazini

Dr Maboko akiendelea kuongelea Ujasiriamali

Mr Msigwa akiendela kukata shule ya Mahusiano

King Chavalla akipasu mbavu za watu
      

Thursday, November 15, 2012

You are highly invited to THE DRIVE!!!!


OOOH.."RISE AND SHINE"..SINGIDA YOUTH AND STUDENTS!!!!

GOOD NEWS TO ALL YOUTH,STUDENTS AND YOUNG PROFESSIONALS OF SINGIDA!!!
HERE IS A VERY GREAT EVENT, EVER HAPPEN IN SINGIDA!!!
HUU NI MUDA WA KUAMKA NA KUANGAZA!!!


HII NI BAB KUBWA YAANI WANAFUNZI WOOOOOOOOOTE NA VIJANA WOOOOOTE WA SINGIDA WATAKUSANYIKA MAHALI PAMOJA USIKU KUCHA WAKIMSIFU NA KUMWABUDU MUNGU WAO, WAKIFUNDISHWA NA KULISHWA HEKIMA NA WAZUNGUMZAJI MAALUM, WAKIANGALIA DANCE PAMOJA KUCHEKA SANA NA WAKATI HUO WAKIFAHAMIANA NA KUBADILISHANA MAWAZO YA MSINGI YA KULIJENGA TAIFA HILI!!!

KAMA WEWE UKO SINGIDA AU UKO KARIBU NA SINGIDA TAFADHALI HIYO SIO YA KUKOSA HATA KIDOGO!!


KAMA BADO HUJANIELEWA BASI PIGA SIMU HII
0713 905118

unaweza pia kujipatia tshrt yako!!!!

NI SAA YA VIJANA WA SINGIDA, WANAFUNZI WA SINGIDA NA TANZANIA KUAMKA NA KUNG'AA!!!!


HERE COMES.....
                   CAMPUS NIGHT DODOMA....!!!!
It is such a wonderful blessing getting time to Praise and Worship God as students. Putting aside all our differences and clinging to one fact of truth that we all call upon one name.... JESUS, the name above all names!!

This is Campus Night Chapter Two! Goes by the theme, My Life, My Love, My All.....!!! Get your T-Shirt, I got mine already....!!

Don't dare miss this night at Chimwaga Hall, from Friday 16th November, 2012 at 2000 hrs to Saturday 0630 hrs.
Praise and Worship session will be led by a Blessed MASS CHOIR under the leadership of Urio Aaron!!


Not only that but also, we are going to have JSISTERS, ANGEL BENARD and IPYANA KIBONA  as our special guests......!!!There're going to be a number of activities such as enough praise and worship sessions, campus life challenges and perseverance techniques, simple games, groups and individual singers, the word of God, 'Old is Gold', and so much more....!!! There is no such a thing as getting bored!!

TRUST ME, YOU DON'T WANNA MISS THIS....!!!

Bring a friend along with you....!!!
Bless you!!!