HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MBEYA CITY WEEKEND HII!!!
NITUKIO KUBWA LA KIHISTORIA LIITWALO CAMPUS NIGHT!!!
![]() |
| Rose Mushi a.k.a Nabii Mke akiendelea kufwatilia nini kinachoendelea kwenye Campus Night |
![]() |
| Pastor Dr Huruma Nkone akeendela kukata Gospel ya ulweli |
| Music Director Pastor Mathew Sasali pamoja na Mama Pastor Rebecca Sasali wakiongoza jukwaa la Praise and Worship |
| Sauti ya Dubu ukipenda Mr Dr Nyanda akiwa kazini kama Mc wa siku hiyo |
| Praise and Worship chini ya Mama Pastor ikifanya kaziii..... |
| Watu Pipoz |
| Sebene ya Yesu ikiwafanya watu wadance |
| Twende Sawa |
| Watu Pipoz |
| Moja ya Matunda ya Campus Night zilizopita akitoa ushuhuda |
| Mc Shupavu a.k.a Papaa Ze Blogger akiendelea na Kaziii |
| Twende Sawaaa |
| Makofi kwa ajili ya Yesuu!!! |
| Twende Sawa |
| Pastor Dr Huruma Nkone akiendelea kukata Gospel kama Katapila |
| Wanafunzi wakimpa Yesu Maisha yao |
| Wanafunzi wakimpa Yesu Maisha yao |
| Dr Kimambo akikata shule |
| Watu Pipoz |
| Nabii Mkee akitabiria Watu |
| Haikuwa Ya kitoto hata Vice President wa Mzumbe Campus ya Mbeya alikuwepo(Mwenye Top ya Kijani) |
| Mc Pilipili akiwa Kazini |
| Dr Maboko akiendelea kuongelea Ujasiriamali |
| Mr Msigwa akiendela kukata shule ya Mahusiano |
| King Chavalla akipasu mbavu za watu |
|


No comments:
Post a Comment